Weibak Carsharing

Dalili za hasara kwa madereva

DALILI ZA HASARA KWA MADEREVA WA PROGRAMU ZA SAFARI

Unapokuwa umeendesha abiria kwa muda mrefu kwenye majukwaa ya programu za safari lazima ifike wakati utathmini kama biashara yako inakuletea faida au la. Katika makala hii utaenda kuona dalili za hasara kwa madereva wa sekta hii, na pia tumekuchambulia suluhisho ili kuhakikisha unaendelea na biashara na kupata faida. Ukweli ni kwamba wapo madereva wengi sana …

DALILI ZA HASARA KWA MADEREVA WA PROGRAMU ZA SAFARI Read More »

makubaliano ya madereva na wamiliki magari

VITU VYA KUZINGATIA KWENYE MAKUBALIANO WANAYOINGIA MADEREVA WA TAXI MTANDAO NA WAMILIKI WA MAGARI

Kabla ya kuingia kwenye mkataba wa kukodi gari ni muhimu kufahamu vitu vya kuzingatia kwenye makubaliano wanayoingia madereva na wamiliki wa magari kwa lengo la biashara. Kama unavyofahamu si lazima kuwa na gari lako mwenyewe ili uweze kutengeneza kipato kwa kuendesha abiria wa majukwaa ya usafiri. Wapo madereva wengi sana ambao wanatengeneza kipato kikubwa tu …

VITU VYA KUZINGATIA KWENYE MAKUBALIANO WANAYOINGIA MADEREVA WA TAXI MTANDAO NA WAMILIKI WA MAGARI Read More »

faida za gari la kukodi

FAIDA ZA DEREVA KUTUMIA GARI LA KUKODI KUENDESHA ABIRIA

Kuanzisha biashara yenye faida kubwa kwenye programu za safari hakuhitaji kuwa na gari lako mwenyewe. Dereva anaweza kutengeneza kipato kwa kutumia gari la kukodi kwa mmiliki na kugawana naye sehemu ya mapato. Katika makala hii utaenda kuona manufaa ya kufanya biashara hii ya usafirishaji abiria bila kuhitaji kununua gari. Kama tayari unao mtaji wa kununua …

FAIDA ZA DEREVA KUTUMIA GARI LA KUKODI KUENDESHA ABIRIA Read More »

makosa wanayofanya madereva wanapokodi magari

MAKOSA 9 WANAYOFANYA MADEREVA WANAPOKODI MAGARI KWA WAMILIKI

Katika makala iliyopita tumechambua kiundani faida wanazopata madereva kwa kuanza biashara kwenye programu za safari kwa kutumia magari wasiyoyamiliki. Katika mwendelezo huu utaenda kuona makosa wanayoyafanya madereva wanapokodi magari kutoka kwa wamiliki. Kwanza kabisa ni muhimu tukukumbushe kuwa sio madereva wote hufanya haya makosa yote unayoenda kuyaona. Wapo madereva wengi sana ambao ni wazoefu na …

MAKOSA 9 WANAYOFANYA MADEREVA WANAPOKODI MAGARI KWA WAMILIKI Read More »

Bolt itabaki

BOLT ITABAKI AU ITASITISHA HUDUMA TANZANIA 2022 KAMA UBER?

Baada ya maamuzi ya ada mpya ya programu za safari kuwa 15% kutangazwa 16 Aprili 2022. Na baada ya kampuni kubwa na kongwe ya Uber kusitisha huduma kutokana na mabadiliko haya, wadau wengi wamekuwa wakisikilizia kama Bolt itabaki au itasitisha huduma pia. Tangu agizo la kamisheni mpya kutolewa na LATRA, kampuni ya Bolt iliamua kuheshimu …

BOLT ITABAKI AU ITASITISHA HUDUMA TANZANIA 2022 KAMA UBER? Read More »

Uber kusitisha huduma

HATUA ZA KUCHUKUA BAADA YA UBER KUSITISHA HUDUMA

Kwanza kabisa ni vizuri kufahamu na kukumbuka kwamba Uber kusitisha huduma Tanzania ni maamuzi ya ghafla tu kutokana na mabadiliko ya ada yaliyopitishwa na LATRA kuanzia Aprili 2022. SOMA: Sababu za Uber kusitisha huduma Tanzania 2022 Kampuni imeshatoa tamko kuwa inaendelea kuwasiliana na wadau ikiwemo uongozi wa LATRA ili kuona kama kuna uwezekano wa kufikia …

HATUA ZA KUCHUKUA BAADA YA UBER KUSITISHA HUDUMA Read More »

Kwanini Uber imesitisha huduma Tanzania

UBER IMESITISHA HUDUMA TANZANIA 2022 KWA SABABU HIZI

Kuanzia tarehe 14 April 2022 kampuni ua Uber imesitisha huduma Tanzania kama ilivyotangazwa na wawakilishi wake. Hili limekuwa jambo la ghafla na ambalo limeathiri kipato cha madereva wengi kwasababu kampuni hii ndio kubwa kuliko kampuni zote za programu za safari Tanzania na dunia nzima. KANUSHO: Weibak Carsharing sio mdau wa kampuni yoyote ya programu za …

UBER IMESITISHA HUDUMA TANZANIA 2022 KWA SABABU HIZI Read More »

akaunti ya dereva uber tanzania kufungwa

FUNGUA AKAUNTI YA UBER ILIYOFUNGWA KWA KUFATA NJIA HIZI

Katika makala iliyopita uliona ni jinsi gani akaunti yako ya dereva inaweza kufungiwa na Uber na kukuzuia kufanya kazi na kutengeneza pesa. Katika makala hii tunaenda kukuonesha jinsi ya ku fungua akaunti ya Uber iliyofungwa na kuzuia kufungiwa tena. Je umefungiwa akaunti yako ya dereva Uber? Usivunjike moyo, hili janga huwa linawatokea madereva wengi tu …

FUNGUA AKAUNTI YA UBER ILIYOFUNGWA KWA KUFATA NJIA HIZI Read More »

akaunti ya dereva uber imefungwa

SABABU ZA KUFUNGIWA AKAUNTI YA DEREVA UBER

Moja ya kero kubwa inayowapata madereva Uber ni kufungiwa akaunti. Mara nyingi madereva wengi hujikuta kwenye balaa hili bila kujua sababu za kufungiwa akaunti zao, hivyo kuishia kupoteza kipato na muda mwingi kwa kujaribu kutafuta suluhusho. Kwanini kufungiwa akaunti kunaudhi madereva? KUTOKUWA NA TAHADHARI: Wapo madereva wengi ambao wamejikuta akaunti zao zikifungwa ghafla bila taarifa …

SABABU ZA KUFUNGIWA AKAUNTI YA DEREVA UBER Read More »

Uber au Bolt ipo bora tanzania 2022

UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022?

Kama wewe tayari ni dereva au kama ndio unataka kuanza biashara ya Uber au Bolt Tanzania hii makala ni maalumu kwa ajili yako. Watu wengi huwa wanakosa taarifa sahihi za kuwasaidia kuchagua kampuni ipi wajisajili na kuendesha abiria au ni ipi waikazanie zaidi. Kwa hiyo kwenye makala hii tutaenda kuchambua tofauti za majukwaa haya mawili …

UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022? Read More »

aina ya magari yenye faida uber

AINA ZA MAGARI YENYE FAIDA ZAIDI UBER TANZANIA 2022

Watu wengi wanaotaka kuanza kuendesha abiria Uber hujiuliza sana kuhusu aina za magari zitakazofaa katika kuleta faida kubwa zaidi kwenye biashara hii ya usafirishaji. Hii ni muhimu kwa madereva ambao tayari wanaendesha abiria wa Uber/Bolt/Linkee au kwenye majukwaa mengine kwasababu, dereva anaweza kubadili gari muda wowote na kuweza kutengeneza pesa zaidi. Kabla ya kujua magari …

AINA ZA MAGARI YENYE FAIDA ZAIDI UBER TANZANIA 2022 Read More »

madereva wa linkee tanzania

MADEREVA WA LINKEE TANZANIA WANAPATA FAIDA HIZI

Kama wewe ni mdau wa sekta hii ya usafiri kwa njia ya programu utakuwa tayari unafahamu kuwa madereva wa Linkee Tanzania wanapata faida nzuri sana kupitia biashara hii ya usafirishaji. Linkee ni kampuni mpya ya ride hailing ambayo imeingia kwenye biashara yenye wachezaji wakubwa sana kama Uber na Bolt. Kutokana na hili, kampuni hii imeanza …

MADEREVA WA LINKEE TANZANIA WANAPATA FAIDA HIZI Read More »

madereva uber wengi wanaapata changamoto

MADEREVA UBER WENGI WANAACHA KAZI KWA SABABU HIZI.

Ukilinganisha na nchi za nje, madereva wengi wa Uber hapa Tanzania huvumulia mengi sana na kuendelea na kazi hata pale matatizo yanapozidi. Ripoti zinaonesha kuwa mwaka 2020 tu kuanzia Januari hadi Aprili Uber ilipoteza 60% ya madereva wake. Hii inawezekana kuwa ilichangiwa na mlipuko wa gonjwa la UVIKO 19 lakini hata kabla ya hapo, tafiti …

MADEREVA UBER WENGI WANAACHA KAZI KWA SABABU HIZI. Read More »

ongezeko la nauli (surge pricing)

ONGEZEKO LA NAULI UBER: MAANA NA TAHADHARI

Kutokana na ripoti zilizopo, madereva huweza kutengeneza pesa zaidi kwa kuendesha abiria maeneo yenye ongezeko la nauli katika jukwaa la Uber. Ongezeko hili linalofahamika kama surge pricing lililoanzishwa na kampuni hii mwaka 2014 hutokea pale ambapo kwenye eneo fulani kuna abiria wengi kuliko madereva. Inapotokea hii, algorithm au mitambo ya Uber automatically hupandisha bei za …

ONGEZEKO LA NAULI UBER: MAANA NA TAHADHARI Read More »

MADEREVA BOLT WATUMIE GESI ASILIA BADALA YA PETROLI

MADEREVA BOLT WATUMIE GESI ASILIA BADALA YA PETROLI

Kampuni ya Bolt Tanzania kwa kupitia mpango wake wa green plan inahamasisha madereva Bolt watumie gesi badala ya petroli ili kusaidia mazingira na kuinua uchumi. Meneja wa Bolt nchini, Remmy Eseka alisema jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuwa “Kupitia Mpango wa Kijani wa Bolt, kitendo cha madereva kwenye jukwaa letu kuanza kuchukua hatua …

MADEREVA BOLT WATUMIE GESI ASILIA BADALA YA PETROLI Read More »

Jinsi ya kupata 5 strars

JINSI YA KUPATA 5 STAR RATINGS KWA MADEREVA WA TEKSI MTANDAO

Katika makala hii tumeamua kuchambua jinsi ya kupata 5 stars na reviews kwa ajili ya madereva wa teksi mtandao kwasababu hiki ni kigezo kikubwa cha kupata abiria kwa wingi zaidi. Majukwaa ya usafiri wa teksi mtandao kama Uber, Bolt, Ping, Paisha, Little ride, Indriver and nyinginezo yameweka system ya madereva kupewa alama na abiria kwasababu …

JINSI YA KUPATA 5 STAR RATINGS KWA MADEREVA WA TEKSI MTANDAO Read More »

Destination filter ya Uber

JINSI YA KUCHAGUA MAENEO YA KUPELEKA ABIRIA WA UBER

Madereva wengi wa Uber wanafahamu jinsi ya kuanza na kumaliza safarii lakini hawafahamu jinsi ya kuchagua maeneo wanayotaka wao kufanya shughuli yao ya uendeshaji. Jukwaa la Uber lina kipengele muhimu sana kinachoitwa “Destination ride request filter” ambacho kina faida kubwa sana kwa madereva. Hii ni kwasababu, kwa kutumia kipengele hiki unaweza kuamua kuwa safari zako …

JINSI YA KUCHAGUA MAENEO YA KUPELEKA ABIRIA WA UBER Read More »

mbinu za usalama kwa madereva usiku

MBINU ZA USALAMA KWA MADEREVA WANAOENDESHA USIKU

Kila dereva anayetoa huduma kwenye majukwaa ya usafirishaji anapaswa kufahamu mbinu za usalama wakati wa kuendesha abiria usiku. Madereva waliopo nje ya Tanzania au bara la Afrika mara nyingi hawapo katika hatari sana usiku kulinganisha na madereva wa huku kwasababu nchi zao zina miundombinu mikubwa sana ya usalama. Katika nchi yetu ambayo hata namba ya …

MBINU ZA USALAMA KWA MADEREVA WANAOENDESHA USIKU Read More »

kama haupati abiria uber/bolt fanya hivi

KAMA HAUPATI ABIRIA UBER/BOLT FANYA VITU HIVI!

Watu wengi huanza biashara ya kuendesha magari kwenye majukwaa ya usafiri wakidhani kwamba abiria wapo wengi muda wote na watatengeneza mamilioni haraka!. Kama haupati abiria Uber/Bolt/Linkee au kwenye jukwaa lolote lile usikate tamaa. Hali hii ni ya muda na muda na inaweza ikawa ni kwasababu tu eneo uliopo lina madereva wengi kuliko abiria hivyo kusababisha …

KAMA HAUPATI ABIRIA UBER/BOLT FANYA VITU HIVI! Read More »

Bima ya ajali bure kwa madereva Uber

BIMA YA AJALI BURE KWA MADEREVA UBER WOTE TANZANIA

Ajali ni tatizo ambalo linaweza kutokea muda wowote na kukusababishia majanga na upungufu wa kipato. Ingawa madereva wote wanatakiwa kuwa na bima ya biashara ili kukubaliwa kuendesha Uber, bado kampuni ya Uber inakata bima ya ajali bure kwa madereva wake wote ili kuhakikisha wanapata maslahi yakutosha pale inapotokea ajali. BIMA YA AJALI BURE KUTOKA BRITAM …

BIMA YA AJALI BURE KWA MADEREVA UBER WOTE TANZANIA Read More »

Zawadi 5 kila dereva uber anapewa

ZAWADI 5 KILA DEREVA UBER ANAPEWA NA KAMPUNI

Je unazifahamu zawadi 5 kila dereva Uber hupewa mara tu anapojiunga kuendesha abiria kwenye jukwaa hili la usafiri? Uber ni moja ya kampuni zinazoongoza katika sekta ya usafiri kwa njia ya programu duniani. Tangu ipate mafanikio makubwa, zimeibuka kampuni nyingine ambazo zimekuwa zikijaribu kushindana na Uber ili nao wapate mafanikio makubwa. Kutokana na ushindani huu, …

ZAWADI 5 KILA DEREVA UBER ANAPEWA NA KAMPUNI Read More »

Sheria za utoaji huduma Uber/Bolt

SHERIA ZA UTOAJI HUDUMA KWENYE JUKWAA LA UBER/BOLT

Kampuni zote zinayofanya shughuli za biashara lazima ziwe na sheria za utoaji huduma ili kuhakikisha wateja wao wanaridhika na kurudi tena na tena. Unapoendesha abiria kwenye majukwaa haya ya Ride-sharing/Ride-hailing wewe unakuwa unawasilisha picha ya kampuni kwa abiria. Kutokana na hili kampuni hizi zinataka utoe huduma kwa kufata kanuni zifuatazo. 1. Uhakiki wa abiria. Dereva …

SHERIA ZA UTOAJI HUDUMA KWENYE JUKWAA LA UBER/BOLT Read More »

Wasiliana na uongozi wa uber

WASILIANA NA UONGOZI UBER KWA KUFATA NJIA HIZI

Uber ni jukwaa maarufu ambapo madereva na wamiliki vyombo vya usafiri huunganishwa na watu wenye hitaji la usafiri. Kampuni hii ilianzishwa mwezi March mwaka 2009, San Francisco, California, Marekani. Hadi mwaka 2021 huduma za Uber zimefikia zaidi ya nchi 85, huku ikiweza kutoa fursa kwa madereva zaidi ya milioni 3-4 dunia nzima kutengeneza kipato kizuri …

WASILIANA NA UONGOZI UBER KWA KUFATA NJIA HIZI Read More »

Kila dereva Uber/ Bolt anahitaji kuwa na vifaa hivi

KILA DEREVA UBER/BOLT LAZIMA AWE NA VIFAA HIVI

Kila dereva Uber/Bolt anapoanza kazi ya kuendesha abiria kwenye majukwaa hayo huambiwa kuwa anahitaji gari, ujuzi na smartphone tu kujisajili. Ingawa hivyo vinaweza kutosha, utakuja kugundua kwamba abiria hawatabiriki. Kwa hiyo ni vizuri sana kuwa tayari kwa jambo lolote linaloweza kutokea wakati wa safari. Katika makala hii utaenda kujionea vifaa muhimu sana ambavyo kila dereva …

KILA DEREVA UBER/BOLT LAZIMA AWE NA VIFAA HIVI Read More »

Je, biashara ya Uber inalipa kweli kwa Tanzania?

BIASHARA YA UBER INALIPA KWELI KWA TANZANIA 2022?

Kama wewe ni dereva au mmiliki wa gari unayefikiria kutengeneza kipato kwa kutoa huduma ya usafiri basi umefika kwenye mahala sahihi. Katika makala hii utafahamu kama biashara ya Uber inalipa vizuri na kama inakufaa kuanza kutengeneza kipato full time au part time kwa kuendesha mwenyewe au kutumia madereva wanaohitaji magari ya kuendesha na Uber. Uber …

BIASHARA YA UBER INALIPA KWELI KWA TANZANIA 2022? Read More »

Changamoto za Madereva Uber na Bolt Tanzania

CHANGAMOTO ZA MADEREVA UBER/BOLT ZINAZOSUMBUA SANA

Kutokana na taarifa zilizopo, changamoto za madereva Uber/Bolt ni nyingi ingawa madereva bado wanaendelea kutoa huduma. Watu wengi hudhani kuwa kwasababu kampuni ni kubwa inayotokea nchi maarufu kila kitu kitakuwa murua katika utenda kazi wake. Lakini ukweli ni kwamba ingawa sekta hii ni ya kiteknolojia zaidi, bado madereva wanapitia mambo ambayo mara nyingi huwafanya kutamani …

CHANGAMOTO ZA MADEREVA UBER/BOLT ZINAZOSUMBUA SANA Read More »

Dereva Uber/ Bolt akijaza fomu

KILA DEREVA WA UBER/BOLT ANAPASWA KUJIULIZA MASWALI HAYA

Kila siku madereva wapya wanajisajili kuanza kuendesha abiria kwenye majukwaa ya Ride sharing. Ili kuwa wakipekee inabidi kila dereva wa Uber/Bolt ajiulize maswali sahihi na awe na majibu yake kabla hajaanza au hajaendelea na kazi hii. Kupata mafanikio na kutengeneza pesa nyingi kwa kuendesha Uber si kitu rahisi sana. Inahitaji bidii ya ziada na ufahamu …

KILA DEREVA WA UBER/BOLT ANAPASWA KUJIULIZA MASWALI HAYA Read More »