Je, unafahamu majukwaa mengine ya teksi mtandao tofauti na Uber, Bolt?
Pamoja na kuwa programu hizi zinatoa huduma zinazofanana na zile za Uber na Bolt, lakini ni wangapi wanazifahamu?
Pamoja na kuwa programu hizi zinatoa huduma zinazofanana na zile za Uber na Bolt, lakini ni wangapi wanazifahamu?
Katika makala iliyopita uliona ni jinsi gani akaunti yako ya dereva inaweza kufungiwa na Uber na kukuzuia kufanya kazi na kutengeneza pesa. Katika makala hii tunaenda kukuonesha jinsi ya ku fungua akaunti ya Uber iliyofungwa na kuzuia kufungiwa tena. Je umefungiwa akaunti yako ya dereva Uber? Usivunjike moyo, hili janga huwa linawatokea madereva wengi tu …
FUNGUA AKAUNTI YA UBER ILIYOFUNGWA KWA KUFATA NJIA HIZI Read More »
Moja ya kero kubwa inayowapata madereva Uber ni kufungiwa akaunti. Mara nyingi madereva wengi hujikuta kwenye balaa hili bila kujua sababu za kufungiwa akaunti zao, hivyo kuishia kupoteza kipato na muda mwingi kwa kujaribu kutafuta suluhusho. Kwanini kufungiwa akaunti kunaudhi madereva? KUTOKUWA NA TAHADHARI: Wapo madereva wengi ambao wamejikuta akaunti zao zikifungwa ghafla bila taarifa …
Kwa madereva wa Uber promotion za Uber Quest inaweza kusaidia mapato yako kupanda hadi kiwango cha juu ndani ya muda mchache. Wakati mwingine kipato kwenye jukwaa la Uber huwa chini sana ingawa kampuni hii wanalipa vizuri kidogo ukilinganisha na kampuni nyingine. Kwa hiyo ni muhimu wewe kama dereva kutumia kila fursa ambayo kampuni imeweka ili …
Kama wewe tayari ni dereva au kama ndio unataka kuanza biashara ya Uber au Bolt Tanzania hii makala ni maalumu kwa ajili yako. Watu wengi huwa wanakosa taarifa sahihi za kuwasaidia kuchagua kampuni ipi wajisajili na kuendesha abiria au ni ipi waikazanie zaidi. Kwa hiyo kwenye makala hii tutaenda kuchambua tofauti za majukwaa haya mawili …
UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022? Read More »
Watu wengi wanaotaka kuanza kuendesha abiria Uber hujiuliza sana kuhusu aina za magari zitakazofaa katika kuleta faida kubwa zaidi kwenye biashara hii ya usafirishaji. Hii ni muhimu kwa madereva ambao tayari wanaendesha abiria wa Uber/Bolt/Linkee au kwenye majukwaa mengine kwasababu, dereva anaweza kubadili gari muda wowote na kuweza kutengeneza pesa zaidi. Kabla ya kujua magari …
AINA ZA MAGARI YENYE FAIDA ZAIDI UBER TANZANIA 2022 Read More »
Ukilinganisha na nchi za nje, madereva wengi wa Uber hapa Tanzania huvumulia mengi sana na kuendelea na kazi hata pale matatizo yanapozidi. Ripoti zinaonesha kuwa mwaka 2020 tu kuanzia Januari hadi Aprili Uber ilipoteza 60% ya madereva wake. Hii inawezekana kuwa ilichangiwa na mlipuko wa gonjwa la UVIKO 19 lakini hata kabla ya hapo, tafiti …
MADEREVA UBER WENGI WANAACHA KAZI KWA SABABU HIZI. Read More »
Kutokana na ripoti zilizopo, madereva huweza kutengeneza pesa zaidi kwa kuendesha abiria maeneo yenye ongezeko la nauli katika jukwaa la Uber. Ongezeko hili linalofahamika kama surge pricing lililoanzishwa na kampuni hii mwaka 2014 hutokea pale ambapo kwenye eneo fulani kuna abiria wengi kuliko madereva. Inapotokea hii, algorithm au mitambo ya Uber automatically hupandisha bei za …
Madereva wengi wa Uber wanafahamu jinsi ya kuanza na kumaliza safarii lakini hawafahamu jinsi ya kuchagua maeneo wanayotaka wao kufanya shughuli yao ya uendeshaji. Jukwaa la Uber lina kipengele muhimu sana kinachoitwa “Destination ride request filter” ambacho kina faida kubwa sana kwa madereva. Hii ni kwasababu, kwa kutumia kipengele hiki unaweza kuamua kuwa safari zako …
JINSI YA KUCHAGUA MAENEO YA KUPELEKA ABIRIA WA UBER Read More »
Watu wengi huanza biashara ya kuendesha magari kwenye majukwaa ya usafiri wakidhani kwamba abiria wapo wengi muda wote na watatengeneza mamilioni haraka!. Kama haupati abiria Uber/Bolt/Linkee au kwenye jukwaa lolote lile usikate tamaa. Hali hii ni ya muda na muda na inaweza ikawa ni kwasababu tu eneo uliopo lina madereva wengi kuliko abiria hivyo kusababisha …
Madereva wengi hawafahamu kuwa zipo zaidi ya njia moja ya kutengeneza pesa nyingi kupitia jukwaa la Uber. Kwenye makala hii utaenda kuona jinsi ya kutengeneza pesa kwenye Uber kwa kupitia programu ya Uber referral. Kama ambavyo tumeandika mara nyingi kwenye makala zetu, kampuni ya Uber inaongoza katika sekta hii ya usafiri kwa kutumia programu. Hii …
TENGENEZA PESA KWENYE UBER KWA KUSAIDIA MADEREVA WAPYA KUANZA Read More »
Je unazifahamu zawadi 5 kila dereva Uber hupewa mara tu anapojiunga kuendesha abiria kwenye jukwaa hili la usafiri? Uber ni moja ya kampuni zinazoongoza katika sekta ya usafiri kwa njia ya programu duniani. Tangu ipate mafanikio makubwa, zimeibuka kampuni nyingine ambazo zimekuwa zikijaribu kushindana na Uber ili nao wapate mafanikio makubwa. Kutokana na ushindani huu, …
Uber ni kampuni inayoongoza katika sekta ya usafiri wa kushiriki yaani ride sharing /ride hailing. Maelfu ya watanzania madereva na wamiliki magari yanayokubaliwa kusajiliwa Uber wamekuwa wakitengeneza kipato kikubwa kwa kutoa huduma ya usafiri kwa abiria wa jukwaa hili. Ingawa fursa hii ni nzuri sana na inafaa kila mtanzania mwenye uwezo aweze kunufaika nayo, inavyo …
MAGARI YANAYOKUBALIWA KUSAJILIWA UBER TANZANIA 2022. Read More »
Majukwaa ya usafiri wa kushirikiana yamefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya usafiri. Maelfu ya wamiliki magari na madereva waliochukua hatua ya kujisajilii kuwa dereva Uber wamekuwa wakitengeneza faida kubwa sana hadi kuhamasisha watanzania wengine wajiunge na fursa hii. Katika makala hii utaenda kuona jinsi ya ku jisajili kuwa dereva Uber ili na wewe uanze kutengeneza …
Watu wengi wametambua na kuanza fursa ya kutengeneza mamilioni kwa kuendesha abiria kwenye majukwaa ya safari kama Uber na Bolt. Lakini je? Ni kila mtu anaweza kutengeneza kipato cha kutosha kwa njia hii? Madereva wengi hasa wale wapya huanza kazi hii bila kujifunza misingi muhimu zaidi ya kuwafanya wafanikiwe. Kama wewe ni dereva au mmiliki …
JINSI YA KUTENGENEZA PESA NYINGI KWENYE UBER/BOLT Read More »