TOFAUTI 9 KATI YA TAXI NA PROGRAMU ZA SAFARI
Mara nyingi sana watu hufikiria kuwa teksi na programu za safari kama Bolt, Linkee, moovn nk ni kitu kile kile. Lakini ukweli ni kwamba Taxi na programu za safari ni huduma mbili tofauti ambazo zinapaswa kutochanganywa kabisa. Huduma hizi ni tofauti kwasababu kuna utofauti mkubwa katika muundo wake wa biashara na mfumo wa utoaji huduma. …