WASILIANA NA UONGOZI UBER KWA KUFATA NJIA HIZI
Uber ni jukwaa maarufu ambapo madereva na wamiliki vyombo vya usafiri huunganishwa na watu wenye hitaji la usafiri. Kampuni hii ilianzishwa mwezi March mwaka 2009, San Francisco, California, Marekani. Hadi mwaka 2021 huduma za Uber zimefikia zaidi ya nchi 85, huku ikiweza kutoa fursa kwa madereva zaidi ya milioni 3-4 dunia nzima kutengeneza kipato kizuri …