KAMA HAUPATI ABIRIA UBER/BOLT FANYA VITU HIVI!
Watu wengi huanza biashara ya kuendesha magari kwenye majukwaa ya usafiri wakidhani kwamba abiria wapo wengi muda wote na watatengeneza mamilioni haraka!. Kama haupati abiria Uber/Bolt/Linkee au kwenye jukwaa lolote lile usikate tamaa. Hali hii ni ya muda na muda na inaweza ikawa ni kwasababu tu eneo uliopo lina madereva wengi kuliko abiria hivyo kusababisha …