ONGEZEKO LA NAULI UBER: MAANA NA TAHADHARI
Kutokana na ripoti zilizopo, madereva huweza kutengeneza pesa zaidi kwa kuendesha abiria maeneo yenye ongezeko la nauli katika jukwaa la Uber. Ongezeko hili linalofahamika kama surge pricing lililoanzishwa na kampuni hii mwaka 2014 hutokea pale ambapo kwenye eneo fulani kuna abiria wengi kuliko madereva. Inapotokea hii, algorithm au mitambo ya Uber automatically hupandisha bei za …