jinsi ya kutengeneza pesa nyingi uber au bolt

akaunti ya dereva uber tanzania kufungwa

FUNGUA AKAUNTI YA UBER ILIYOFUNGWA KWA KUFATA NJIA HIZI

Katika makala iliyopita uliona ni jinsi gani akaunti yako ya dereva inaweza kufungiwa na Uber na kukuzuia kufanya kazi na kutengeneza pesa. Katika makala hii tunaenda kukuonesha jinsi ya ku fungua akaunti ya Uber iliyofungwa na kuzuia kufungiwa tena. Je umefungiwa akaunti yako ya dereva Uber? Usivunjike moyo, hili janga huwa linawatokea madereva wengi tu …

FUNGUA AKAUNTI YA UBER ILIYOFUNGWA KWA KUFATA NJIA HIZI Read More »

akaunti ya dereva uber imefungwa

SABABU ZA KUFUNGIWA AKAUNTI YA DEREVA UBER

Moja ya kero kubwa inayowapata madereva Uber ni kufungiwa akaunti. Mara nyingi madereva wengi hujikuta kwenye balaa hili bila kujua sababu za kufungiwa akaunti zao, hivyo kuishia kupoteza kipato na muda mwingi kwa kujaribu kutafuta suluhusho. Kwanini kufungiwa akaunti kunaudhi madereva? KUTOKUWA NA TAHADHARI: Wapo madereva wengi ambao wamejikuta akaunti zao zikifungwa ghafla bila taarifa …

SABABU ZA KUFUNGIWA AKAUNTI YA DEREVA UBER Read More »

PROMOTION ZA UBER QUEST

PROMOTION ZA UBER QUEST: TENGENEZA PESA ZAIDI!

Kwa madereva wa Uber promotion za Uber Quest inaweza kusaidia mapato yako kupanda hadi kiwango cha juu ndani ya muda mchache. Wakati mwingine kipato kwenye jukwaa la Uber huwa chini sana ingawa kampuni hii wanalipa vizuri kidogo ukilinganisha na kampuni nyingine. Kwa hiyo ni muhimu wewe kama dereva kutumia kila fursa ambayo kampuni imeweka ili …

PROMOTION ZA UBER QUEST: TENGENEZA PESA ZAIDI! Read More »

Uber au Bolt ipo bora tanzania 2022

UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022?

Kama wewe tayari ni dereva au kama ndio unataka kuanza biashara ya Uber au Bolt Tanzania hii makala ni maalumu kwa ajili yako. Watu wengi huwa wanakosa taarifa sahihi za kuwasaidia kuchagua kampuni ipi wajisajili na kuendesha abiria au ni ipi waikazanie zaidi. Kwa hiyo kwenye makala hii tutaenda kuchambua tofauti za majukwaa haya mawili …

UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022? Read More »

Jinsi ya kupata 5 strars

JINSI YA KUPATA 5 STAR RATINGS KWA MADEREVA WA TEKSI MTANDAO

Katika makala hii tumeamua kuchambua jinsi ya kupata 5 stars na reviews kwa ajili ya madereva wa teksi mtandao kwasababu hiki ni kigezo kikubwa cha kupata abiria kwa wingi zaidi. Majukwaa ya usafiri wa teksi mtandao kama Uber, Bolt, Ping, Paisha, Little ride, Indriver and nyinginezo yameweka system ya madereva kupewa alama na abiria kwasababu …

JINSI YA KUPATA 5 STAR RATINGS KWA MADEREVA WA TEKSI MTANDAO Read More »

Wasiliana na uongozi Bolt

WASILIANA NA UONGOZI BOLT TANZANIA KWA NJIA ZIFUATAZO

Kama wewe tayari ni dereva uliyesajiliwa kuendesha abiria ni muhimu kufahamu njia hizi unapotaka ku wasiliana na uongozi Bolt ili kupata huduma za ziada. Sababu zinazoweza kusababisha uhitaji wa kuwasiliana na uongozi. 1. KUPATA MAFUNZO YA MADEREVA Kampuni ya Bolt imejikita sana katika kuhakikisha madereva wote wanapata mafunzo maalumu ili kuhakikisha wanatoa huduma kwa ufanisi …

WASILIANA NA UONGOZI BOLT TANZANIA KWA NJIA ZIFUATAZO Read More »

Destination filter ya Uber

JINSI YA KUCHAGUA MAENEO YA KUPELEKA ABIRIA WA UBER

Madereva wengi wa Uber wanafahamu jinsi ya kuanza na kumaliza safarii lakini hawafahamu jinsi ya kuchagua maeneo wanayotaka wao kufanya shughuli yao ya uendeshaji. Jukwaa la Uber lina kipengele muhimu sana kinachoitwa “Destination ride request filter” ambacho kina faida kubwa sana kwa madereva. Hii ni kwasababu, kwa kutumia kipengele hiki unaweza kuamua kuwa safari zako …

JINSI YA KUCHAGUA MAENEO YA KUPELEKA ABIRIA WA UBER Read More »

mbinu za usalama kwa madereva usiku

MBINU ZA USALAMA KWA MADEREVA WANAOENDESHA USIKU

Kila dereva anayetoa huduma kwenye majukwaa ya usafirishaji anapaswa kufahamu mbinu za usalama wakati wa kuendesha abiria usiku. Madereva waliopo nje ya Tanzania au bara la Afrika mara nyingi hawapo katika hatari sana usiku kulinganisha na madereva wa huku kwasababu nchi zao zina miundombinu mikubwa sana ya usalama. Katika nchi yetu ambayo hata namba ya …

MBINU ZA USALAMA KWA MADEREVA WANAOENDESHA USIKU Read More »

kama haupati abiria uber/bolt fanya hivi

KAMA HAUPATI ABIRIA UBER/BOLT FANYA VITU HIVI!

Watu wengi huanza biashara ya kuendesha magari kwenye majukwaa ya usafiri wakidhani kwamba abiria wapo wengi muda wote na watatengeneza mamilioni haraka!. Kama haupati abiria Uber/Bolt/Linkee au kwenye jukwaa lolote lile usikate tamaa. Hali hii ni ya muda na muda na inaweza ikawa ni kwasababu tu eneo uliopo lina madereva wengi kuliko abiria hivyo kusababisha …

KAMA HAUPATI ABIRIA UBER/BOLT FANYA VITU HIVI! Read More »

tengeneza kipato kwa kuendesha uber tanzania

TENGENEZA PESA KWENYE UBER KWA KUSAIDIA MADEREVA WAPYA KUANZA

Madereva wengi hawafahamu kuwa zipo zaidi ya njia moja ya kutengeneza pesa nyingi kupitia jukwaa la Uber. Kwenye makala hii utaenda kuona jinsi ya kutengeneza pesa kwenye Uber kwa kupitia programu ya Uber referral. Kama ambavyo tumeandika mara nyingi kwenye makala zetu, kampuni ya Uber inaongoza katika sekta hii ya usafiri kwa kutumia programu. Hii …

TENGENEZA PESA KWENYE UBER KWA KUSAIDIA MADEREVA WAPYA KUANZA Read More »

Zawadi 5 kila dereva uber anapewa

ZAWADI 5 KILA DEREVA UBER ANAPEWA NA KAMPUNI

Je unazifahamu zawadi 5 kila dereva Uber hupewa mara tu anapojiunga kuendesha abiria kwenye jukwaa hili la usafiri? Uber ni moja ya kampuni zinazoongoza katika sekta ya usafiri kwa njia ya programu duniani. Tangu ipate mafanikio makubwa, zimeibuka kampuni nyingine ambazo zimekuwa zikijaribu kushindana na Uber ili nao wapate mafanikio makubwa. Kutokana na ushindani huu, …

ZAWADI 5 KILA DEREVA UBER ANAPEWA NA KAMPUNI Read More »

Sheria za utoaji huduma Uber/Bolt

SHERIA ZA UTOAJI HUDUMA KWENYE JUKWAA LA UBER/BOLT

Kampuni zote zinayofanya shughuli za biashara lazima ziwe na sheria za utoaji huduma ili kuhakikisha wateja wao wanaridhika na kurudi tena na tena. Unapoendesha abiria kwenye majukwaa haya ya Ride-sharing/Ride-hailing wewe unakuwa unawasilisha picha ya kampuni kwa abiria. Kutokana na hili kampuni hizi zinataka utoe huduma kwa kufata kanuni zifuatazo. 1. Uhakiki wa abiria. Dereva …

SHERIA ZA UTOAJI HUDUMA KWENYE JUKWAA LA UBER/BOLT Read More »

Kila dereva Uber/ Bolt anahitaji kuwa na vifaa hivi

KILA DEREVA UBER/BOLT LAZIMA AWE NA VIFAA HIVI

Kila dereva Uber/Bolt anapoanza kazi ya kuendesha abiria kwenye majukwaa hayo huambiwa kuwa anahitaji gari, ujuzi na smartphone tu kujisajili. Ingawa hivyo vinaweza kutosha, utakuja kugundua kwamba abiria hawatabiriki. Kwa hiyo ni vizuri sana kuwa tayari kwa jambo lolote linaloweza kutokea wakati wa safari. Katika makala hii utaenda kujionea vifaa muhimu sana ambavyo kila dereva …

KILA DEREVA UBER/BOLT LAZIMA AWE NA VIFAA HIVI Read More »

Dereva Uber/ Bolt akijaza fomu

KILA DEREVA WA UBER/BOLT ANAPASWA KUJIULIZA MASWALI HAYA

Kila siku madereva wapya wanajisajili kuanza kuendesha abiria kwenye majukwaa ya Ride sharing. Ili kuwa wakipekee inabidi kila dereva wa Uber/Bolt ajiulize maswali sahihi na awe na majibu yake kabla hajaanza au hajaendelea na kazi hii. Kupata mafanikio na kutengeneza pesa nyingi kwa kuendesha Uber si kitu rahisi sana. Inahitaji bidii ya ziada na ufahamu …

KILA DEREVA WA UBER/BOLT ANAPASWA KUJIULIZA MASWALI HAYA Read More »

jinsi ya kutengeneza pesa nyingi kwenye uber/bolt

JINSI YA KUTENGENEZA PESA NYINGI KWENYE UBER/BOLT

Watu wengi wametambua na kuanza fursa ya kutengeneza mamilioni kwa kuendesha abiria kwenye majukwaa ya safari kama Uber na Bolt. Lakini je? Ni kila mtu anaweza kutengeneza kipato cha kutosha kwa njia hii? Madereva wengi hasa wale wapya huanza kazi hii bila kujifunza misingi muhimu zaidi ya kuwafanya wafanikiwe. Kama wewe ni dereva au mmiliki …

JINSI YA KUTENGENEZA PESA NYINGI KWENYE UBER/BOLT Read More »