Jinsi ya kupunguza gharama za Uber na Bolt

Destination filter ya Uber

JINSI YA KUCHAGUA MAENEO YA KUPELEKA ABIRIA WA UBER

Madereva wengi wa Uber wanafahamu jinsi ya kuanza na kumaliza safarii lakini hawafahamu jinsi ya kuchagua maeneo wanayotaka wao kufanya shughuli yao ya uendeshaji. Jukwaa la Uber lina kipengele muhimu sana kinachoitwa “Destination ride request filter” ambacho kina faida kubwa sana kwa madereva. Hii ni kwasababu, kwa kutumia kipengele hiki unaweza kuamua kuwa safari zako …

JINSI YA KUCHAGUA MAENEO YA KUPELEKA ABIRIA WA UBER Read More »

kama haupati abiria uber/bolt fanya hivi

KAMA HAUPATI ABIRIA UBER/BOLT FANYA VITU HIVI!

Watu wengi huanza biashara ya kuendesha magari kwenye majukwaa ya usafiri wakidhani kwamba abiria wapo wengi muda wote na watatengeneza mamilioni haraka!. Kama haupati abiria Uber/Bolt/Linkee au kwenye jukwaa lolote lile usikate tamaa. Hali hii ni ya muda na muda na inaweza ikawa ni kwasababu tu eneo uliopo lina madereva wengi kuliko abiria hivyo kusababisha …

KAMA HAUPATI ABIRIA UBER/BOLT FANYA VITU HIVI! Read More »

Dereva Uber/ Bolt akijaza fomu

KILA DEREVA WA UBER/BOLT ANAPASWA KUJIULIZA MASWALI HAYA

Kila siku madereva wapya wanajisajili kuanza kuendesha abiria kwenye majukwaa ya Ride sharing. Ili kuwa wakipekee inabidi kila dereva wa Uber/Bolt ajiulize maswali sahihi na awe na majibu yake kabla hajaanza au hajaendelea na kazi hii. Kupata mafanikio na kutengeneza pesa nyingi kwa kuendesha Uber si kitu rahisi sana. Inahitaji bidii ya ziada na ufahamu …

KILA DEREVA WA UBER/BOLT ANAPASWA KUJIULIZA MASWALI HAYA Read More »