JINSI YA KUPUNGUZA GHARAMA YA MAFUTA YA GARI

Mafuta ndio mtaji na gharama kubwa kwa madereva wa majukwaa yote ya usafirishaji wa abiria. Hata ukitengeneza fedha nyingi kiasi gani unatakiwa kutoa gharama ya mafuta ndio ubaki na faida. Kwasababu ya hili, ili kupata faida kubwa ni lazima dereva ufahamu jinsi ya kupunguza gharama na kuongeza kipato. JINSI YA KUPUNGUZA GHARAMA YA MAFUTA KWA …

JINSI YA KUPUNGUZA GHARAMA YA MAFUTA YA GARI Read More »