Jisajili kuendesha uber kubaliwa haraka

JISAJILI KUWA DEREVA UBER NA KUBALIWA HARAKA!

Majukwaa ya usafiri wa kushirikiana yamefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya usafiri. Maelfu ya wamiliki magari na madereva waliochukua hatua ya kujisajilii kuwa dereva Uber wamekuwa wakitengeneza faida kubwa sana hadi kuhamasisha watanzania wengine wajiunge na fursa hii. Katika makala hii utaenda kuona jinsi ya ku jisajili kuwa dereva Uber ili na wewe uanze kutengeneza …

JISAJILI KUWA DEREVA UBER NA KUBALIWA HARAKA! Read More »