MISINGI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA MADEREVA
Watu wote wanaofanya shughuli za kutoa huduma au kuuza bidhaa katika sekta yoyote duniani hutakiwa kuwa na ufahamu wa misingi ya huduma kwa wateja. Hii ni kwasababu wateja ndio chanzo cha kipato, na hivyo kuwapa wao kipaumbele ndiyo mbinu bora zaidi ya mafanikio kwa kampuni au biashara yoyote. Madereva wengi huanza biashara ya kuendesha abiria …