Jinsi ya kufaidika na biashara ya Uber na Bolt

Bima ya ajali bure kwa madereva Uber

BIMA YA AJALI BURE KWA MADEREVA UBER WOTE TANZANIA

Ajali ni tatizo ambalo linaweza kutokea muda wowote na kukusababishia majanga na upungufu wa kipato. Ingawa madereva wote wanatakiwa kuwa na bima ya biashara ili kukubaliwa kuendesha Uber, bado kampuni ya Uber inakata bima ya ajali bure kwa madereva wake wote ili kuhakikisha wanapata maslahi yakutosha pale inapotokea ajali. BIMA YA AJALI BURE KUTOKA BRITAM …

BIMA YA AJALI BURE KWA MADEREVA UBER WOTE TANZANIA Read More »

Dereva Uber/ Bolt akijaza fomu

KILA DEREVA WA UBER/BOLT ANAPASWA KUJIULIZA MASWALI HAYA

Kila siku madereva wapya wanajisajili kuanza kuendesha abiria kwenye majukwaa ya Ride sharing. Ili kuwa wakipekee inabidi kila dereva wa Uber/Bolt ajiulize maswali sahihi na awe na majibu yake kabla hajaanza au hajaendelea na kazi hii. Kupata mafanikio na kutengeneza pesa nyingi kwa kuendesha Uber si kitu rahisi sana. Inahitaji bidii ya ziada na ufahamu …

KILA DEREVA WA UBER/BOLT ANAPASWA KUJIULIZA MASWALI HAYA Read More »