Bolt tanzania

Uber au Bolt ipo bora tanzania 2022

UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022?

Kama wewe tayari ni dereva au kama ndio unataka kuanza biashara ya Uber au Bolt Tanzania hii makala ni maalumu kwa ajili yako. Watu wengi huwa wanakosa taarifa sahihi za kuwasaidia kuchagua kampuni ipi wajisajili na kuendesha abiria au ni ipi waikazanie zaidi. Kwa hiyo kwenye makala hii tutaenda kuchambua tofauti za majukwaa haya mawili …

UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022? Read More »

Jinsi ya kupata 5 strars

JINSI YA KUPATA 5 STAR RATINGS KWA MADEREVA WA TEKSI MTANDAO

Katika makala hii tumeamua kuchambua jinsi ya kupata 5 stars na reviews kwa ajili ya madereva wa teksi mtandao kwasababu hiki ni kigezo kikubwa cha kupata abiria kwa wingi zaidi. Majukwaa ya usafiri wa teksi mtandao kama Uber, Bolt, Ping, Paisha, Little ride, Indriver and nyinginezo yameweka system ya madereva kupewa alama na abiria kwasababu …

JINSI YA KUPATA 5 STAR RATINGS KWA MADEREVA WA TEKSI MTANDAO Read More »

Wasiliana na uongozi Bolt

WASILIANA NA UONGOZI BOLT TANZANIA KWA NJIA ZIFUATAZO

Kama wewe tayari ni dereva uliyesajiliwa kuendesha abiria ni muhimu kufahamu njia hizi unapotaka ku wasiliana na uongozi Bolt ili kupata huduma za ziada. Sababu zinazoweza kusababisha uhitaji wa kuwasiliana na uongozi. 1. KUPATA MAFUNZO YA MADEREVA Kampuni ya Bolt imejikita sana katika kuhakikisha madereva wote wanapata mafunzo maalumu ili kuhakikisha wanatoa huduma kwa ufanisi …

WASILIANA NA UONGOZI BOLT TANZANIA KWA NJIA ZIFUATAZO Read More »

kama haupati abiria uber/bolt fanya hivi

KAMA HAUPATI ABIRIA UBER/BOLT FANYA VITU HIVI!

Watu wengi huanza biashara ya kuendesha magari kwenye majukwaa ya usafiri wakidhani kwamba abiria wapo wengi muda wote na watatengeneza mamilioni haraka!. Kama haupati abiria Uber/Bolt/Linkee au kwenye jukwaa lolote lile usikate tamaa. Hali hii ni ya muda na muda na inaweza ikawa ni kwasababu tu eneo uliopo lina madereva wengi kuliko abiria hivyo kusababisha …

KAMA HAUPATI ABIRIA UBER/BOLT FANYA VITU HIVI! Read More »

Jisajili kuwa dereva Bolt

JISAJILI KUWA DEREVA BOLT NA KUBALIWA CHAP CHAP!

Bolt ni kampuni ya usafirishaji iliyoanzishwa nchini Estonia na kusambaa kwenye nchi mbalimbali duniani. Takwimu zilizopo zinaonesha kuwa Bolt ina wateja zaidi ya milioni 75 na madereva zaidi ya milioni 1.5 ambao wanatoa huduma za usafiri kwenye app ya Bolt. Maelfu ya madereva wa Tanzania wameweza kujiajiri au kuajiriwa kuendesha vyombo vya usafiri Bolt na …

JISAJILI KUWA DEREVA BOLT NA KUBALIWA CHAP CHAP! Read More »

jinsi ya kutengeneza pesa nyingi kwenye uber/bolt

JINSI YA KUTENGENEZA PESA NYINGI KWENYE UBER/BOLT

Watu wengi wametambua na kuanza fursa ya kutengeneza mamilioni kwa kuendesha abiria kwenye majukwaa ya safari kama Uber na Bolt. Lakini je? Ni kila mtu anaweza kutengeneza kipato cha kutosha kwa njia hii? Madereva wengi hasa wale wapya huanza kazi hii bila kujifunza misingi muhimu zaidi ya kuwafanya wafanikiwe. Kama wewe ni dereva au mmiliki …

JINSI YA KUTENGENEZA PESA NYINGI KWENYE UBER/BOLT Read More »