BOLT IMEONGEZEWA UFADHILI

BOLT IMEONGEZEWA UFADHILI WA TRILIONI 1.5

Kuanzia tarehe 11 Januari 2022 Kampuni ya Kiestonia ya Bolt imeongezewa ufadhili wa Euro milioni 628 sawa na shilingi za kitanzania Trilioni moja, bilioni mia tano themanini, milioni mia moja sabini, laki tatu elfu nne mia nane themanini na nne. Kampuni hii imekuwa ikihitaji fedha hizi kwasababu ya mipango mikubwa ya uboreshaji huduma ambayo imepanga …

BOLT IMEONGEZEWA UFADHILI WA TRILIONI 1.5 Read More »