Privacy Policy

Sisi ni nani?

Weibak Carsharing ni brand inayotambua ukubwa wa fursa zilizopo katika sekta ya usafirishaji kwa kutumia programu za safari.

Tunaamini kuwa watu wanahitaji kujifunza na kuelewa fursa zilizopo ili waweze kuzitumia fursa hizo kwa ufasaha.

Hivyo basi, Weibak Carsharing kwa sasa tumejikita katika kutoa taarifa muhimu zinazo wasaidia madereva wa programu za safari pamoja na wamiliki wa magari yanayotumika katika sekta hii ya usafirishaji kwa kutumia programu za safari, ili waweze kuzitumia fursa zilizopo na kufurahia matunda yake.

Ukusanyaji Wa Taarifa za wateja.

Kwa madhumuni ya kuelewa na kutoa huduma kwa wateja wetu huwa tunakusanya taarifa binafsi za watumiaji wa tovuti yetu.

Dhumuni La Kukusanya Taarifa.

Weibak carsharing inakusanya taarifa kwa ajili ya madhumuni mbali mbali ambayo yana lenga kuhudumia wadau. Tunakusanya taarifa hizi kutoka kwa watumiaji wa website yetu ili kufanya tafiti ambazo zitatusaidia kutambua changamoto na mahitaji ya wadau. Hii inasaidia sana katika maboresho ya huduma tunazotoa ili ziweze kukidhi mahitaji ya soko letu.

Tunatumia pia taarifa hizi (anwani ya barua pepe na jina la kwanza ili kuendeleza mawasiliano na wateja wetu hasa kwa ajili ya kuwatumia taarifa mpya kuhusu huduma zetu.

Taarifa Binafsi Zinazokusanywa. 

Taarifa binafsi zinazokusanywa ni  Majina ya kwanza na anwani ya barua pepe tu.

Njia Za Ukusanyaji Wa Taarifa.

Tunakusanya taarifa kwa kupitia newsletter, komenti, Matangazo, cookies na fomu .

Usambazaji wa taarifa binafsi.

Taarifa zinazokusanywa zinatumiwa na team ya Weibak Carsharing kuandaa na kutengeneza huduma kwa ajili ya watumiaji wetu.

Taarifa pia zinashirikishwa na watoaji huduma wengine ambao na wao hawazitumii kwa shughuli zozote ambazo haziendani na lengo kuu la Weibak Carsharing ambalo ni kuleta maboresho ya huduma kwa wadau. Kazi ya watoaji huduma hao ni kutupatia huduma kama za kufanya tafiti, kutengeneza matangazo, matengenezo na maboresho ya tovuti yetu au kutengeneza huduma. 

Usalama wa Taarifa zainazokusanywa.

Usalama wa taarifa zako ni muhimu kwetu na tunachukua kila hatua muhimu kuhakikisha kuwa tunazilinda. Lakini kumbuka kuwa hakuna njia ya usambazaji kupitia mtandao au njia ya utunzaji taarifa kielektroniki ambao una usalama 100%. Ingawa tunatumia njia zenye viwango vinavyokubalika kutunza taarifa zako, hatuwezi kuhakikisha usalama madhubuti.

Fungo za Tovuti Nyinginezo.

Tovuti yetu inaweza kuwa na fungo zinazopeleka mtumiaji kwenye tovuti nyingine ambayo haiendeshwi na sisi kwa lengo la kumsaidia kupata taarifa zaidi au kuhakiki taarifa tulizoandika. Unapobonyeza fungo ya tovuti hizo hakikisha unasoma sera zao za faragha. 

Sisi hatuna mamlaka yoyote kwenye tovuti hizo wala hatuchukui jukumu lolote kwa maudhui, sera za faragha au shughuli za uendeshaji wa tovuti au huduma za huko.

Sera Za Faragha kwa Watoto.

Huduma zetu si kwa ajili ya mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka 21 (watoto). Hatukusanyi kwa makusudi taarifa binafsi za mtu aliye na umri chini ya miaka 21. Kama wewe ni mzazi au mlezi na unafahamu kuwa mtoto wako ametupatia taarifa zake binafsi yaani anwani ya barua pepe na jina la kwanza, tafadhali wasiliana nasi. Kama tutagundua kuwa mtu aliye chini ya umri wa miaka 21 ametupatia taarifa zake binafsi tutaziondoa katika rekodi zetu mara moja.

Mabadiliko Kwenye Sera Zetu Za Faragha.

Tunaweza kufanya mabadiliko ya hapa na pale katika sera yetu ya faragha hapa na pale. Tutakutumia taarifa za mabadiliko kwa kupost sera mpya kwenye ukurasa huu huu. Unashauriwa kupitia sera yetu ya faragha mara unapokuwa unapata muda ili kugundua kama kuna tofauti zozote zimetokea. Mabadiliko ya sera hii huanza pale sera mpya itakapochapishwa kwenye kurasa huu.


Who we are.

Weibak Carsharing is a brand that understands the great opportunities available within the Ride-hailing/Ride-sharing industry.

We believe that people need to learn and understand these opportunities so that they can utilize the opportunities to the fullest potential.

Therefore, Weibak Carsharing is currently focused on providing crucial information that helps Ride-hailing/Ride-sharing drivers and Vehicle Owners with vehicles operating within the Ride-hailing/Ride-sharing industry so that they can understand the industry and exploit the available opportunities and enjoy its benefits.

Collecting Personal Information.

For purposes of understanding and serving the market certain personal information of our users is collected. No information of the user is collected without the consent of the user.

The Purpose of Collecting Personal Information.

Weibak carsharing collects users’ information for different purposes that are aimed at serving the market. We collect information from our users so that we can carry out market research activities that helps us to understand the market needs and wants. This enables us to make the necessary improvements on the services we provide so that we can be able to meet the demands of our market.

We also use the collected personal information to engage with our customers by providing them with news and updates regarding our services.

Personal Information That Is Collected.

The personal information collected from our users include: – Names, Emails

Means Of Collecting Personal Information.

We use website newsletters, cookies, comments, Advertisement, Forms e.t.c

Sharing Of Personal Information.

The information is shared between members of Weibak Carsharing team while producing the services for our users. The information is also shared with external service providers who use the provided personal information for no other purposes that do not comply with the purposes of Weibak Carsharing. The external service providers, provide us with services such as carrying out market research, creating Ad campaigns, maintenance & improvement of the website or creating the intended service.

Security of the Personal Information collected.

The security of your Personal Information is important to us and we take the necessary measures to protect your Personal Information, but remember that no method of transmission over the Internet, or method of electronic storage is 100% secure. While we strive to use commercially acceptable means to protect your Personal Information, we cannot guarantee its absolute security.

Links To Other Sites

Our Service may contain links to other sites that are not operated by us. If you click on a third party link, you will be directed to that third party’s site. We strongly advise you to review the Privacy Policy of every site you visit.
We have no control over, and assume no responsibility for the content, privacy policies or practices of any third-party sites or services.

Children’s Privacy

Our Service does not address anyone under the age of 21 (“Children”).
We do not knowingly collect personally identifiable information from a person under 21. If you are a parent or guardian and you are aware that your Children has provided us with Personal Information, please contact us. If we discover that a person under 21 has provided us with Personal Information, we will delete such information from our servers immediately.

Changes To This Privacy Policy

We may make changes to our Privacy Policy from time to time. We will notify you of any changes by posting the new Privacy Policy on this page.
You are advised to review this Privacy Policy periodically for any changes. Changes to this Privacy Policy are effective when they are posted on this page.