Imekuwa kawaida kwa madereva wa teksi mtandao kuwapakia abiria bila ku ‘start trip’ [kuanza safari kwenye programu walizotumia kuwapata abiria hao]. Je, ni sahihi kwa dereva wa teksi mtandao kufanya hivyo? Ni zipi sababu zinazowapelekea madereva wengi kutumbukia katika dimbwi hili? Madhara yake ni yapi? na ni zipi mbinu za kuepukana na changamoto hii?
SOMA ZAIDI: Mbinu za Kukusaidia Dereva wa Teksi Mtandao Kutengeneza Faida Kwenye Pesa Unayoingiza
Timu ya Weibak imefanya mahojiano na mmoja wa madereva wa teksi mtandao ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe, na ameweza kutoa majibu ya maswali haya.
SOMA ZAIDI: Je, dereva unajihisi kunyonywa na majukwaa ya teksi mtandao?
Sikiliza mahojiano yote hapa