Bolt Tanzania

Uber au Bolt ipo bora tanzania 2022

Sakata la Uber na Bolt: Mfululizo wa Matukio Muhimu

Agosti 17,2022, Bolt ilisitisha huduma zake za magari kwa abiria wa kawaida na kujikita zaidi katika abiria wa makampuni. Hali hii ikiwa imekuja miezi minne tu, toka Uber isitishe baadhi ya huduma zake Tanzania, wote wakilalmikia viwango vipya vya nauli na kamisheni vilivyopitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Haya ni matukio muhimu kwenye sakata hili:

Bolt itabaki

BOLT ITABAKI AU ITASITISHA HUDUMA TANZANIA 2022 KAMA UBER?

Baada ya maamuzi ya ada mpya ya programu za safari kuwa 15% kutangazwa 16 Aprili 2022. Na baada ya kampuni kubwa na kongwe ya Uber kusitisha huduma kutokana na mabadiliko haya, wadau wengi wamekuwa wakisikilizia kama Bolt itabaki au itasitisha huduma pia. Tangu agizo la kamisheni mpya kutolewa na LATRA, kampuni ya Bolt iliamua kuheshimu …

BOLT ITABAKI AU ITASITISHA HUDUMA TANZANIA 2022 KAMA UBER? Read More »

Uber au Bolt ipo bora tanzania 2022

UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022?

Kama wewe tayari ni dereva au kama ndio unataka kuanza biashara ya Uber au Bolt Tanzania hii makala ni maalumu kwa ajili yako. Watu wengi huwa wanakosa taarifa sahihi za kuwasaidia kuchagua kampuni ipi wajisajili na kuendesha abiria au ni ipi waikazanie zaidi. Kwa hiyo kwenye makala hii tutaenda kuchambua tofauti za majukwaa haya mawili …

UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022? Read More »

MADEREVA BOLT WATUMIE GESI ASILIA BADALA YA PETROLI

MADEREVA BOLT WATUMIE GESI ASILIA BADALA YA PETROLI

Kampuni ya Bolt Tanzania kwa kupitia mpango wake wa green plan inahamasisha madereva Bolt watumie gesi badala ya petroli ili kusaidia mazingira na kuinua uchumi. Meneja wa Bolt nchini, Remmy Eseka alisema jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuwa “Kupitia Mpango wa Kijani wa Bolt, kitendo cha madereva kwenye jukwaa letu kuanza kuchukua hatua …

MADEREVA BOLT WATUMIE GESI ASILIA BADALA YA PETROLI Read More »

Wasiliana na uongozi Bolt

WASILIANA NA UONGOZI BOLT TANZANIA KWA NJIA ZIFUATAZO

Kama wewe tayari ni dereva uliyesajiliwa kuendesha abiria ni muhimu kufahamu njia hizi unapotaka ku wasiliana na uongozi Bolt ili kupata huduma za ziada. Sababu zinazoweza kusababisha uhitaji wa kuwasiliana na uongozi. 1. KUPATA MAFUNZO YA MADEREVA Kampuni ya Bolt imejikita sana katika kuhakikisha madereva wote wanapata mafunzo maalumu ili kuhakikisha wanatoa huduma kwa ufanisi …

WASILIANA NA UONGOZI BOLT TANZANIA KWA NJIA ZIFUATAZO Read More »

Sheria za utoaji huduma Uber/Bolt

SHERIA ZA UTOAJI HUDUMA KWENYE JUKWAA LA UBER/BOLT

Kampuni zote zinayofanya shughuli za biashara lazima ziwe na sheria za utoaji huduma ili kuhakikisha wateja wao wanaridhika na kurudi tena na tena. Unapoendesha abiria kwenye majukwaa haya ya Ride-sharing/Ride-hailing wewe unakuwa unawasilisha picha ya kampuni kwa abiria. Kutokana na hili kampuni hizi zinataka utoe huduma kwa kufata kanuni zifuatazo. 1. Uhakiki wa abiria. Dereva …

SHERIA ZA UTOAJI HUDUMA KWENYE JUKWAA LA UBER/BOLT Read More »

Jisajili kuwa dereva Bolt

JISAJILI KUWA DEREVA BOLT NA KUBALIWA CHAP CHAP!

Bolt ni kampuni ya usafirishaji iliyoanzishwa nchini Estonia na kusambaa kwenye nchi mbalimbali duniani. Takwimu zilizopo zinaonesha kuwa Bolt ina wateja zaidi ya milioni 75 na madereva zaidi ya milioni 1.5 ambao wanatoa huduma za usafiri kwenye app ya Bolt. Maelfu ya madereva wa Tanzania wameweza kujiajiri au kuajiriwa kuendesha vyombo vya usafiri Bolt na …

JISAJILI KUWA DEREVA BOLT NA KUBALIWA CHAP CHAP! Read More »