Majukwaa

Uber au Bolt ipo bora tanzania 2022

Sakata la Uber na Bolt: Mfululizo wa Matukio Muhimu

Agosti 17,2022, Bolt ilisitisha huduma zake za magari kwa abiria wa kawaida na kujikita zaidi katika abiria wa makampuni. Hali hii ikiwa imekuja miezi minne tu, toka Uber isitishe baadhi ya huduma zake Tanzania, wote wakilalmikia viwango vipya vya nauli na kamisheni vilivyopitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Haya ni matukio muhimu kwenye sakata hili:

Bolt itabaki

BOLT ITABAKI AU ITASITISHA HUDUMA TANZANIA 2022 KAMA UBER?

Baada ya maamuzi ya ada mpya ya programu za safari kuwa 15% kutangazwa 16 Aprili 2022. Na baada ya kampuni kubwa na kongwe ya Uber kusitisha huduma kutokana na mabadiliko haya, wadau wengi wamekuwa wakisikilizia kama Bolt itabaki au itasitisha huduma pia. Tangu agizo la kamisheni mpya kutolewa na LATRA, kampuni ya Bolt iliamua kuheshimu …

BOLT ITABAKI AU ITASITISHA HUDUMA TANZANIA 2022 KAMA UBER? Read More »

Kwanini Uber imesitisha huduma Tanzania

UBER IMESITISHA HUDUMA TANZANIA 2022 KWA SABABU HIZI

Kuanzia tarehe 14 April 2022 kampuni ua Uber imesitisha huduma Tanzania kama ilivyotangazwa na wawakilishi wake. Hili limekuwa jambo la ghafla na ambalo limeathiri kipato cha madereva wengi kwasababu kampuni hii ndio kubwa kuliko kampuni zote za programu za safari Tanzania na dunia nzima. KANUSHO: Weibak Carsharing sio mdau wa kampuni yoyote ya programu za …

UBER IMESITISHA HUDUMA TANZANIA 2022 KWA SABABU HIZI Read More »

akaunti ya dereva uber tanzania kufungwa

FUNGUA AKAUNTI YA UBER ILIYOFUNGWA KWA KUFATA NJIA HIZI

Katika makala iliyopita uliona ni jinsi gani akaunti yako ya dereva inaweza kufungiwa na Uber na kukuzuia kufanya kazi na kutengeneza pesa. Katika makala hii tunaenda kukuonesha jinsi ya ku fungua akaunti ya Uber iliyofungwa na kuzuia kufungiwa tena. Je umefungiwa akaunti yako ya dereva Uber? Usivunjike moyo, hili janga huwa linawatokea madereva wengi tu …

FUNGUA AKAUNTI YA UBER ILIYOFUNGWA KWA KUFATA NJIA HIZI Read More »

akaunti ya dereva uber imefungwa

SABABU ZA KUFUNGIWA AKAUNTI YA DEREVA UBER

Moja ya kero kubwa inayowapata madereva Uber ni kufungiwa akaunti. Mara nyingi madereva wengi hujikuta kwenye balaa hili bila kujua sababu za kufungiwa akaunti zao, hivyo kuishia kupoteza kipato na muda mwingi kwa kujaribu kutafuta suluhusho. Kwanini kufungiwa akaunti kunaudhi madereva? KUTOKUWA NA TAHADHARI: Wapo madereva wengi ambao wamejikuta akaunti zao zikifungwa ghafla bila taarifa …

SABABU ZA KUFUNGIWA AKAUNTI YA DEREVA UBER Read More »

PROMOTION ZA UBER QUEST

PROMOTION ZA UBER QUEST: TENGENEZA PESA ZAIDI!

Kwa madereva wa Uber promotion za Uber Quest inaweza kusaidia mapato yako kupanda hadi kiwango cha juu ndani ya muda mchache. Wakati mwingine kipato kwenye jukwaa la Uber huwa chini sana ingawa kampuni hii wanalipa vizuri kidogo ukilinganisha na kampuni nyingine. Kwa hiyo ni muhimu wewe kama dereva kutumia kila fursa ambayo kampuni imeweka ili …

PROMOTION ZA UBER QUEST: TENGENEZA PESA ZAIDI! Read More »

Uber au Bolt ipo bora tanzania 2022

UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022?

Kama wewe tayari ni dereva au kama ndio unataka kuanza biashara ya Uber au Bolt Tanzania hii makala ni maalumu kwa ajili yako. Watu wengi huwa wanakosa taarifa sahihi za kuwasaidia kuchagua kampuni ipi wajisajili na kuendesha abiria au ni ipi waikazanie zaidi. Kwa hiyo kwenye makala hii tutaenda kuchambua tofauti za majukwaa haya mawili …

UBER AU BOLT TANZANIA: IPI INAFAA ZAIDI KWA BIASHARA 2022? Read More »

aina ya magari yenye faida uber

AINA ZA MAGARI YENYE FAIDA ZAIDI UBER TANZANIA 2022

Watu wengi wanaotaka kuanza kuendesha abiria Uber hujiuliza sana kuhusu aina za magari zitakazofaa katika kuleta faida kubwa zaidi kwenye biashara hii ya usafirishaji. Hii ni muhimu kwa madereva ambao tayari wanaendesha abiria wa Uber/Bolt/Linkee au kwenye majukwaa mengine kwasababu, dereva anaweza kubadili gari muda wowote na kuweza kutengeneza pesa zaidi. Kabla ya kujua magari …

AINA ZA MAGARI YENYE FAIDA ZAIDI UBER TANZANIA 2022 Read More »

madereva wa linkee tanzania

MADEREVA WA LINKEE TANZANIA WANAPATA FAIDA HIZI

Kama wewe ni mdau wa sekta hii ya usafiri kwa njia ya programu utakuwa tayari unafahamu kuwa madereva wa Linkee Tanzania wanapata faida nzuri sana kupitia biashara hii ya usafirishaji. Linkee ni kampuni mpya ya ride hailing ambayo imeingia kwenye biashara yenye wachezaji wakubwa sana kama Uber na Bolt. Kutokana na hili, kampuni hii imeanza …

MADEREVA WA LINKEE TANZANIA WANAPATA FAIDA HIZI Read More »

madereva uber wengi wanaapata changamoto

MADEREVA UBER WENGI WANAACHA KAZI KWA SABABU HIZI.

Ukilinganisha na nchi za nje, madereva wengi wa Uber hapa Tanzania huvumulia mengi sana na kuendelea na kazi hata pale matatizo yanapozidi. Ripoti zinaonesha kuwa mwaka 2020 tu kuanzia Januari hadi Aprili Uber ilipoteza 60% ya madereva wake. Hii inawezekana kuwa ilichangiwa na mlipuko wa gonjwa la UVIKO 19 lakini hata kabla ya hapo, tafiti …

MADEREVA UBER WENGI WANAACHA KAZI KWA SABABU HIZI. Read More »

ongezeko la nauli (surge pricing)

ONGEZEKO LA NAULI UBER: MAANA NA TAHADHARI

Kutokana na ripoti zilizopo, madereva huweza kutengeneza pesa zaidi kwa kuendesha abiria maeneo yenye ongezeko la nauli katika jukwaa la Uber. Ongezeko hili linalofahamika kama surge pricing lililoanzishwa na kampuni hii mwaka 2014 hutokea pale ambapo kwenye eneo fulani kuna abiria wengi kuliko madereva. Inapotokea hii, algorithm au mitambo ya Uber automatically hupandisha bei za …

ONGEZEKO LA NAULI UBER: MAANA NA TAHADHARI Read More »

MADEREVA BOLT WATUMIE GESI ASILIA BADALA YA PETROLI

MADEREVA BOLT WATUMIE GESI ASILIA BADALA YA PETROLI

Kampuni ya Bolt Tanzania kwa kupitia mpango wake wa green plan inahamasisha madereva Bolt watumie gesi badala ya petroli ili kusaidia mazingira na kuinua uchumi. Meneja wa Bolt nchini, Remmy Eseka alisema jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuwa “Kupitia Mpango wa Kijani wa Bolt, kitendo cha madereva kwenye jukwaa letu kuanza kuchukua hatua …

MADEREVA BOLT WATUMIE GESI ASILIA BADALA YA PETROLI Read More »

Wasiliana na uongozi Bolt

WASILIANA NA UONGOZI BOLT TANZANIA KWA NJIA ZIFUATAZO

Kama wewe tayari ni dereva uliyesajiliwa kuendesha abiria ni muhimu kufahamu njia hizi unapotaka ku wasiliana na uongozi Bolt ili kupata huduma za ziada. Sababu zinazoweza kusababisha uhitaji wa kuwasiliana na uongozi. 1. KUPATA MAFUNZO YA MADEREVA Kampuni ya Bolt imejikita sana katika kuhakikisha madereva wote wanapata mafunzo maalumu ili kuhakikisha wanatoa huduma kwa ufanisi …

WASILIANA NA UONGOZI BOLT TANZANIA KWA NJIA ZIFUATAZO Read More »

Destination filter ya Uber

JINSI YA KUCHAGUA MAENEO YA KUPELEKA ABIRIA WA UBER

Madereva wengi wa Uber wanafahamu jinsi ya kuanza na kumaliza safarii lakini hawafahamu jinsi ya kuchagua maeneo wanayotaka wao kufanya shughuli yao ya uendeshaji. Jukwaa la Uber lina kipengele muhimu sana kinachoitwa “Destination ride request filter” ambacho kina faida kubwa sana kwa madereva. Hii ni kwasababu, kwa kutumia kipengele hiki unaweza kuamua kuwa safari zako …

JINSI YA KUCHAGUA MAENEO YA KUPELEKA ABIRIA WA UBER Read More »

Bima ya ajali bure kwa madereva Uber

BIMA YA AJALI BURE KWA MADEREVA UBER WOTE TANZANIA

Ajali ni tatizo ambalo linaweza kutokea muda wowote na kukusababishia majanga na upungufu wa kipato. Ingawa madereva wote wanatakiwa kuwa na bima ya biashara ili kukubaliwa kuendesha Uber, bado kampuni ya Uber inakata bima ya ajali bure kwa madereva wake wote ili kuhakikisha wanapata maslahi yakutosha pale inapotokea ajali. BIMA YA AJALI BURE KUTOKA BRITAM …

BIMA YA AJALI BURE KWA MADEREVA UBER WOTE TANZANIA Read More »

tengeneza kipato kwa kuendesha uber tanzania

TENGENEZA PESA KWENYE UBER KWA KUSAIDIA MADEREVA WAPYA KUANZA

Madereva wengi hawafahamu kuwa zipo zaidi ya njia moja ya kutengeneza pesa nyingi kupitia jukwaa la Uber. Kwenye makala hii utaenda kuona jinsi ya kutengeneza pesa kwenye Uber kwa kupitia programu ya Uber referral. Kama ambavyo tumeandika mara nyingi kwenye makala zetu, kampuni ya Uber inaongoza katika sekta hii ya usafiri kwa kutumia programu. Hii …

TENGENEZA PESA KWENYE UBER KWA KUSAIDIA MADEREVA WAPYA KUANZA Read More »

Zawadi 5 kila dereva uber anapewa

ZAWADI 5 KILA DEREVA UBER ANAPEWA NA KAMPUNI

Je unazifahamu zawadi 5 kila dereva Uber hupewa mara tu anapojiunga kuendesha abiria kwenye jukwaa hili la usafiri? Uber ni moja ya kampuni zinazoongoza katika sekta ya usafiri kwa njia ya programu duniani. Tangu ipate mafanikio makubwa, zimeibuka kampuni nyingine ambazo zimekuwa zikijaribu kushindana na Uber ili nao wapate mafanikio makubwa. Kutokana na ushindani huu, …

ZAWADI 5 KILA DEREVA UBER ANAPEWA NA KAMPUNI Read More »

Sheria za utoaji huduma Uber/Bolt

SHERIA ZA UTOAJI HUDUMA KWENYE JUKWAA LA UBER/BOLT

Kampuni zote zinayofanya shughuli za biashara lazima ziwe na sheria za utoaji huduma ili kuhakikisha wateja wao wanaridhika na kurudi tena na tena. Unapoendesha abiria kwenye majukwaa haya ya Ride-sharing/Ride-hailing wewe unakuwa unawasilisha picha ya kampuni kwa abiria. Kutokana na hili kampuni hizi zinataka utoe huduma kwa kufata kanuni zifuatazo. 1. Uhakiki wa abiria. Dereva …

SHERIA ZA UTOAJI HUDUMA KWENYE JUKWAA LA UBER/BOLT Read More »

Wasiliana na uongozi wa uber

WASILIANA NA UONGOZI UBER KWA KUFATA NJIA HIZI

Uber ni jukwaa maarufu ambapo madereva na wamiliki vyombo vya usafiri huunganishwa na watu wenye hitaji la usafiri. Kampuni hii ilianzishwa mwezi March mwaka 2009, San Francisco, California, Marekani. Hadi mwaka 2021 huduma za Uber zimefikia zaidi ya nchi 85, huku ikiweza kutoa fursa kwa madereva zaidi ya milioni 3-4 dunia nzima kutengeneza kipato kizuri …

WASILIANA NA UONGOZI UBER KWA KUFATA NJIA HIZI Read More »

Je, biashara ya Uber inalipa kweli kwa Tanzania?

BIASHARA YA UBER INALIPA KWELI KWA TANZANIA 2022?

Kama wewe ni dereva au mmiliki wa gari unayefikiria kutengeneza kipato kwa kutoa huduma ya usafiri basi umefika kwenye mahala sahihi. Katika makala hii utafahamu kama biashara ya Uber inalipa vizuri na kama inakufaa kuanza kutengeneza kipato full time au part time kwa kuendesha mwenyewe au kutumia madereva wanaohitaji magari ya kuendesha na Uber. Uber …

BIASHARA YA UBER INALIPA KWELI KWA TANZANIA 2022? Read More »

Magari yanayokubaliwa kusajiliwa uber

MAGARI YANAYOKUBALIWA KUSAJILIWA UBER TANZANIA 2022.

Uber ni kampuni inayoongoza katika sekta ya usafiri wa kushiriki yaani ride sharing /ride hailing. Maelfu ya watanzania madereva na wamiliki magari yanayokubaliwa kusajiliwa Uber wamekuwa wakitengeneza kipato kikubwa kwa kutoa huduma ya usafiri kwa abiria wa jukwaa hili. Ingawa fursa hii ni nzuri sana na inafaa kila mtanzania mwenye uwezo aweze kunufaika nayo, inavyo …

MAGARI YANAYOKUBALIWA KUSAJILIWA UBER TANZANIA 2022. Read More »

Jisajili kuwa dereva Bolt

JISAJILI KUWA DEREVA BOLT NA KUBALIWA CHAP CHAP!

Bolt ni kampuni ya usafirishaji iliyoanzishwa nchini Estonia na kusambaa kwenye nchi mbalimbali duniani. Takwimu zilizopo zinaonesha kuwa Bolt ina wateja zaidi ya milioni 75 na madereva zaidi ya milioni 1.5 ambao wanatoa huduma za usafiri kwenye app ya Bolt. Maelfu ya madereva wa Tanzania wameweza kujiajiri au kuajiriwa kuendesha vyombo vya usafiri Bolt na …

JISAJILI KUWA DEREVA BOLT NA KUBALIWA CHAP CHAP! Read More »