Weibak Carsharing ni brand inayotambua ukubwa wa fursa zilizopo katika sekta ya usafirishaji kwa kutumia programu za safari (Ride-hailing apps).
Tunaamini kuwa watu wanahitaji kujifunza na kuelewa fursa zilizopo ili waweze kuzitumia fursa hizo kwa ufasaha.
Hivyo basi, Weibak Carsharing kwa sasa tumejikita katika kutoa taarifa muhimu zinazo wasaidia madereva wa programu za safari pamoja na wamiliki wa magari yanayotumika katika sekta hii ya usafirishaji inayotumia programu za safari (Ride-hailing apps), ili waweze kuzitumia fursa zilizopo kwa ufasaha na kufurahia matunda yake.
© Copyright 2022 | Weibakcarsharing. All rights reserved