ABIRIA WATATA KWA MADEREVA WA TEKSI MTANDAO.
Madereva wanaotoa huduma ya usafiri kupitia aplikesheni za Teksi mtandao hukutana na abiria wengi wenye tabia zinazotofautiana. Wapo abiria ambao ni wastaarabu lakini wapo abiria ambao ni watata au wagomvi. Ni vigumu na sio vyema kwa madereva kubagua abiria ila wanachotakiwa kukifanyani ni kuwa wepesi kuwatambua abiria wanaowabeba. Abiria watata kwa madereva wa teksi mtandao …